SHILINGI YA TANZANIA YAPOLOMOKA THAMANI Unknown 3:50 PM habari za kitaifa Edit Thamani ya shilingi ya Tanzania imeelezwa kuanguka kwa kiasi cha asilimia 7.9, hali ambayo imeelezwa kuchangiwa na sababu za kiuchumi za ndani na nje ya nchi. Halima Nyanza anaangazia sababu zilizosababisha kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown RELATED POSTS
0 comments :
Post a Comment