
Wafanyakazi wa ubalozi wa Uholanzi nchini Uingereza
Robin
van Persie alifunga moja ya magoli mazuri sana kwenye michuano ya kombe
la dunia inayoendelea hivi sasa nchini Brazil, kwenye mchezo dhidi ya
Spain ambao Uholanzi walishinda 5-1.
Van
Persie alifunga goli hilo kwa kichwa cha kurukia kama anatumbukia
kwenye maji na kuisawazishia Uholanzi goli la kwanza dhidi ya Spain wiki
moja iliyopita. Goli hilo limeleta hamasa kubwa miongoni mwa washabiki
wa soka hasa wanaotumia mtandao ya internet kupitia social media ambapo
wamekuwa wakipost picha wakionekana kugeza namna Van Persie alivyofunga
goli dhidi ya Spain.
Hizi ni baadhi ya picha za mashabiki wakimgeza RVP
0 comments :
Post a Comment