
Ifuatayo ni orodha ya timu zitakazoshiriki na nchi zinakotoka.
El-shandy, El-arab, Merreck. zote za Sudan
Victoria university ya Uganda
Ports ya Djibouti
Ismailia ya Misiri
Polisi ya Zanzibar
Mbeya city ya Tanzania
polisi ya Ruanda
Fumbiue ya Burundi
A F C Leopards ya Kenya
De fence forces ya Ethiopia
El- mereck ya Sudan kusin
El-man yaSomalia
Anaeonekana pichani ni katibu mkuu wa SECAFA Bw.Nicholaus Musonye timu hizo zitashindania Dollar 30,000.
maombi yenu ndio mafanikio ya timu yetu, tutakujulisha siku ya timu kuondoka kuelekea Sudan.
FREDDY JACKSON
AFISA HABARI MCC FC.

0 comments :
Post a Comment