Mwenyekiti
wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na
ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za miaka
37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha hii imepigwa na
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana hapo chini...
Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM akichukua taswira.
0 comments :
Post a Comment