Viongozi
wa The Islamic Foundation walipokuwa wakitembelea maafa, Jana kupitia
Radio Imaan Mwenyekiti wa kamati a maafa Al akh Ahmed Bawazir ametoa
report ya michango na kusimamisha rasmi kuchangia maafa ya kilosa.Katika
picha katikati ni Mwenyekiti wa The Islamic Foundation Al akh Aref
Nahdi, Kulia kwake Al aakh Ahmed Bawazir Mkurugenzi wa Idara ya Habari
na Mwenyekiti wa kamati ya Maafa ya TIF na kushoto kwa Mwenyekiti Shaikh
Ibrahim Twaha Ibrahim Al Massy ni Katibu Mkuu wa TIF na Makamu
Mwenyekiti wa kamati ya Maafa.
Kwa niaba ya TIF tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wale wote waliochangia kwa mali na hali na kutuunga mkono kwa jambo hili adhim.
Insha Allah report ya michango itawekwa hapa kwenye Facebook.
Na vilevile TV IMAAN ina andaa makala ya tukio hilo, Allahu Alam.

0 comments :
Post a Comment