-->

MAKOSA YA GAZETI LA MWANANCHI YAWA MADA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Gazeti la Februari 4 mwaka 2014 limetoka na kuwa na makosa ya kujirudia kwa picha....Watu wengi wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengine wakiliponda na wengine wakitete kwamba ni makosa ya kibinaadamu ambayo yanatakiwa kuvumilika na wasomaji....wengine wamekuwa wakihoji kazi ya mhariri ni nini katika gazeti mpaka uzembe kama huo unajitokeza
JIONEE MWENYEWE HAPO CHINI




Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment