-->

KUMBE HIJABU KAZINI INAWEZEKANA,TIZAMA PICHA HIZI KISHA TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

wadada wawili wakiwa kwenye hijabu mmoja anaitwa Ilwad Elman, 23, mwingine Iman Elman, 21khadija abubakarKhadija Abubakar presenter wa radio maisha akiwa kwenye hijabuhijab beautiesSophia Chinyezi wa radio Maisha akiwa kwenye hijabu
Jayne Kemp mmoja miongoni mwa wadada wanao vaa hijabu wakiwa kazini
Askari wa kwanza nchini Uingereza kuvaa hijabu kazi
Zuleiha mwanadada wa kwanza kuvaa hijabu katika jeshi la polisi huko Sweeden
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment