
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Padre wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya
Machui, Joseph Mwang'amba, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole, Mjini Unguja, baada ya kumwagiwa tindikali Mjini Magharibi - Zanzibar. 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Padre Joseph Mwang'amba alipokuwa akitoa maelezo
jinsi alivyopata mkasa wa kumwagiwa tindikali jana.

0 comments :
Post a Comment