Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam
limepiga marufuku maandamano ya umoja wa vyama vya CUF, NCCR na CHADEMA
siku ya Jumamosi yaliyokuwa yamepangwa kuanzia Tazara hadi Jangwani na
Mwenge hadi Jangwani na sehemu mbalimbali ...
Taarifa iliyotolewa na kamanda
Kova kupitia ITV imeeleza kuwa Polisi wamechunguza na kugundua
kwamba maandamano hayo yataleta usumbufu kwa watu wengine na kwamba
kwa kuwa lengo ni kufika Jangwani basi Viongozi wa vyama hivyo wawaambie
wafuasi wao waende Jangwani bila Maandamano.
0 comments :
Post a Comment