
Unaweza ikawa unaelewa maan ya poke kama ni salam ya kumpa kama vile mambo lakini ku a watu wanamaana mbaya na POKE wakidhani ni alama ya usumbufu.Zifuatazo ndio maana sahihi ya "POKE" kwenye facebook
1.Mtu anapoku-poke anataka kuchukua usikivu wako,ni alama ambayo haina maana ambayo hutumkia kuchukiza mtu
2.Kama utam-poke mtu ambaye si rafiki yako na yeye akarejesha poke(POKE BACK) basi uatapata fursa ya kutizama ukurasa wake hata kama yeye sio rafiki yako
3.Kwa hiyo KU-POKE ni kumruhusu mtu kutizama ukurasa wako wa facebook kwa muda wa siku tatu,hivyo anaweza kukujua wewe ni nani na anaweza kukuomba urafiki


0 comments :
Post a Comment