-->

MATOKEO YA FORM FOUR 2012 YATANGAZWA

MATOKEO YA FORM FOUR YATANGAZWA. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (Mb) akimuelekeza jambo Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo. Mh Philipo Augustino Mulugo kabla ya kuanza kutangaza matokeo ya kidato cha nne mbele ya baadhi ya wanahabari wa vyombo mbalimbali, kwenye makao makuu ya ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam SERIKALI imetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 ambapo kwa mwaka huu idadi ya wanafunzi waliofeli imeongezeka na kufikia laki mbili na arobaini. Mbali na ongozeko la idadi ya wanafunzi waliofeli , ufaulu wa wanafunzi wa kike umekuwa mdogo ukilinganishwa na wa kiume. Kati ya watahiniwa 126,847 ni watahiniwa 397,136 ndiyo waliofanya mtihani huo, wasichana waliofaulu ni 46,181 wakati wavulana waliofaulu ni 80,686 huku Waliofutiwa mtihani ni 789 kwa kosa la kuandika matusi katika mitihiani yao. Shule kumi zilizotajwa kufanya vizuri ni pamoja na st. francis ya mkoani mbeya, marian wavulani ya pwani na fedha wavulana ya dar eslsaama. UKIHITAJI KUYAONA MATOKEO TUMIA WEBSITES ZIFUATAZO www.matokeo.necta.go.tz, www.necta.go.tz, www.udsm.edu.ac.tz, au www.moe.go.tz PIA UNAWEZA KUYAPATA KUPITIA NJIA YA UJUMBE MFUPI (SMS) kwenda namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe andika: MATOKEOXNAMBA YA KITUOXNAMBA YA MTAHINIWA (Mfano : matokeoxS0101x0503) AU KWA NJIA YA MKATO BONYEZA HAPA CHINI http://www.jamiiforums.com/matokeo2012/olevel.htm
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment