
Van Gaal akitabasamu wakati akimtazama Rooney ambaye pia alifurahi.

mchezaji aliyesajiliwa kwa paundi milioni 30, Luke Shaw, kushoto, akifanya mazoezi na wenzake

Ander Herrera, kulia, alipata nafasi ya kuonesha ufiti wake kwa kocha wake na wachezaji wenzake

Herrera na Mata wakinyosha viungo

Kinda: Reece James ni miongoni mwa wachezaji wa Akademi walioitwa katika ziara ya Marekani.LOUIS van Gaal na wachezaji wake wa Manchester United wapo katika morali kubwa kwenye ziara yao nchini Marekani.
Mholanzi
huyo alionekana kucheka na kutaniana na mshambuliaji wake, Wayne Mark
Rooney, wakati wachezaji wapya Luke Shaw na Ander Herera wakipata nafasi
ya kuwajua wachezaji wenzao.
Man
United wamepigga kambi ya maandalizi ya msimu mpya huko Marekani na
sasa wanajiandaa na mechi ya kirafiki jumatano ijayo dhidi ya LA Galaxy.
Van Gaal na Rooney walionaka kuelewana vizuri ambao mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England alikuwa anamtania bosi wake mpya.
0 comments :
Post a Comment