Mashabiki wawili wamekamatwa na jeshi la polisi nchini Uingereza baada
ya kutupa bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya
Tottenham Hotspur na Aston Villa ambapo bomu hilo lilimdondokea mgongoni
refarii msaidizi wa mechi hiyo.
Katika mechi hilo Spurs ilishinda mabao 2-0,kupitia mtandao wa twitter
Polisi waliandika kuwa‘tumewatia mbaroni watu wawili baada ya kurusha
bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Villa vs
Spurs’.… Mashabiki
wawili wamekamatwa na jeshi la polisi nchini Uingereza baada ya kutupa
bomu la machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Tottenham
Hotspur na Aston Villa ambapo bomu hilo lilimdondokea mgongoni refarii
msaidizi wa mechi hiyo. Katika
mechi hilo Spurs ilishinda mabao 2-0,kupitia mtandao wa twitter Polisi
waliandika kuwa‘tumewatia mbaroni watu wawili baada ya kurusha bomu la
machozi uwanjani wakati mechi ikiendelea kati ya Villa vs Spurs’. Katika tukio hilo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
0 comments :
Post a Comment